Instance Results

Topics:safari+ya+mbinguni
In:instances

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 11 - 20 of 33Results Per Page: 102050

Bwana Mungu, Nashangaa

Author: Stuart K. Hine, 1899-1989 Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #16 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Bwana Mungu, nashangaa kabisa Refrain First Line: Roho yangu na ikuimbie Scripture: Deuteronomy 33:36 Languages: Swahili
TextPage scan

Niongoze, Bwana Mungu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #18 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Niongoze, Bwana Mungu, ni msafiri chini Lyrics: 1 Niongoze, Bwana Mungu, ni msafiri chini; Ni mnyonge, nguvu sina; nishike mkononi; U Mkate wa mbinguni, nilishe siku zote, Nilishe siku zote. 2 Kijito cha maji mema kitokacho mwambani, Nguzo yako, moto wingu, yaongoza nyikani; Niokoe Mwenye nguvu; nguvu zangu na ngao, Nguvu zangu na ngao. 3 Nikikaribia kufa, sichi neno lo lote, Wewe kifo umeshinda, zinawe nguvu zote, Tutaimba sifa zako, kwako juuu milele. Kwako juu milele. Scripture: Isaiah 58:11 Languages: Swahili
Page scan

Namwandama Bwana

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #162 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Namwandama Bwana Refrain First Line: Amini utii Scripture: Isaiah 2:5 Languages: Swahili
Page scan

Mwokozi Niongozwe

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #164 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Yesu, Yesu, niongoze nisipotee Scripture: Psalm 27:11 Languages: Swahili
Page scan

Nitaonana Na Yesu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #298 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Nitaonana na Yesu Refrain First Line: Tutaonana na macho Scripture: 1 Corinthians 13:12 Languages: Swahili
Page scan

Atakuja Mawinguni

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #98 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Atakuja mawinguni Scripture: 1 Thessalonians 4:16 Languages: Swahili
Page scan

Sitaona Giza Yesu Ajapo

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #99 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Kunyakua watu wake Scripture: Revelation 22:5 Languages: Swahili
Page scan

Atakaporudi Tena Yesu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #100 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Yesu atakaporudi tena Refrain First Line: Je, ndugu yangu, uko tayari? Scripture: Revelation 22:12 Languages: Swahili
Page scan

Unifiche, Bwana Wangu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #220 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Unifiche, Mwokozi, Unifiche Scripture: Isaiah 49:2 Languages: Swahili
Page scan

Nijaze, Bwanangu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #222 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Nijaze, Bwanangu, na upendo Scripture: Philippians 1:9 Languages: Swahili

Pages


Export as CSV