Text: | Mwana kondoo wa Mungu |
Author (v. 1): | N. Decius |
1 Mwana kondoo wa Mungu
unachinjwa msalabani
wavumilia sana
ujapodharauliwa.
Waichukua dhambi,
tupate kuokoka.
Utuhurumi Yesu.
2 Mwana kondoo wa Mungu
unachinjwa msalabani
wavumilia sana
ujapodharauliwa.
Waichukua dhambi,
tupate kuokoka.
Utuhurumie Yesu.
3 Mwana kondoo wa Mungu
unachinjwa msalabani
wavumilia sana
ujapodharauliwa.
Waichukua dhambi,
tupate kuokoka.
Tutulize mioyo, Yesu.
Text Information | |
---|---|
First Line: | Mwana kondoo wa Mungu |
Title: | Mwana kondoo wa Mungu |
German Title: | O Lamm Gottes, unschuldig |
Author (v. 1): | N. Decius (1529) |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1988 |
Topic: | Kuteswa na kufa kwa Yesu |
Notes: | Sauti: O Lamm Gottes, unschuldig, Asili: Braunschweig, 1542, Posaunen Buch, Erster Band #126, Nyimbo za Kikristo #63, Service Book and Hymnal #70 |